Hapa ndipo Utahakikisha Mungu yupo

Hapa ndipo Utahakikisha Mungu yupo

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,933
Huwa nawaza kutokana na akili wanazodhan wanazo binadamu, maarifa na teknolojia. Bado kuna siri ambayo hakuna aliyewah itambua au ivumbua miaka nenda rudi. Hii imebaki kuwa Siri ya Mungu. Aliposema kufa Utakufa Hakika imebaki hivyo miaka yote.

Lakini katika hili hakubagua. Wamekufa na watakufa watu wazuri kwa wabaya, matajiri kwa maskini, wakakamavu kwa dhaifu, wababe na wanyonge.

Na siku ya kifo bado imebaki kuwa ni siri. Bado hakuna anayejua ni nini kinatokea. Bado hakuna aliyeweza kuongeza urefu wa maisha yake.

Kama ambavyo binadamu ameshindwa hata kuongeza urefu wa nywele zake kwa mahangaiko ndivyo ambavyo Mungu anazidi kuonesha yupo.

Ukiwaza kuwa pamoja na Ubabe idd amin alikufa, hitler alikufa,sadam alikufa, osama alikufa, watu mashuhuri lkama akina mandela, martin luther king, abraham lincoln, g.washington, w. Churchil, plato,socrates, aristotle na hata albert einsten pia

Na wote wanakufa wanakufa kifo ambacho mwishoni wanakuwa wamekufa.

Kaa chini angalia utendaji wa siafu,vipepeo, wanyama ,wadudu na ndege. Angalia kazi walizo nazo wazaz wa wanyama na wadudu. Angalia DOCUMENTARY YA ANIMAL ARE BEATIFUL PEOPLE. utaona Mungu anatenda kazi zake kupitia hata matendo ya wanyama.

Sayansi hujitahidi kuja na maelezo. Sikatai.lakini maelezo yao yote huishia ukingoni sehem flan. Watatoa maelezo yote ila kuna sehemu watakutajia maneno ambayo yana kikomo sehemu flan.
 
Katika imani ya Kikristo huwezi kuongelea kifo bila kugusia ufufuo!
Vitu hivi viwili; kimoja ni kufuri, na kingine ni ufunguo.
Na hapa ndipo suala la wokovu katika Kristo Yesu linapoonesha umuhimu wake, kwa kila aaminiye.
 
Huwa nawaza kutokana na akili wanazodhan wanazo binadamu, maarifa na teknolojia. Bado kuna siri ambayo hakuna aliyewah itambua au ivumbua miaka nenda rudi. Hii imebaki kuwa Siri ya Mungu. Aliposema kufa Utakufa Hakika imebaki hivyo miaka yote.

Lakini katika hili hakubagua. Wamekufa na watakufa watu wazuri kwa wabaya, matajiri kwa maskini, wakakamavu kwa dhaifu, wababe na wanyonge.

Na siku ya kifo bado imebaki kuwa ni siri. Bado hakuna anayejua ni nini kinatokea. Bado hakuna aliyeweza kuongeza urefu wa maisha yake.

Kama ambavyo binadamu ameshindwa hata kuongeza urefu wa nywele zake kwa mahangaiko ndivyo ambavyo Mungu anazidi kuonesha yupo.

Ukiwaza kuwa pamoja na Ubabe idd amin alikufa, hitler alikufa,sadam alikufa, osama alikufa, watu mashuhuri lkama akina mandela, martin luther king, abraham lincoln, g.washington, w. Churchil, plato,socrates, aristotle na hata albert einsten pia

Na wote wanakufa wanakufa kifo ambacho mwishoni wanakuwa wamekufa.

Kaa chini angalia utendaji wa siafu,vipepeo, wanyama ,wadudu na ndege. Angalia kazi walizo nazo wazaz wa wanyama na wadudu. Angalia DOCUMENTARY YA ANIMAL ARE BEATIFUL PEOPLE. utaona Mungu anatenda kazi zake kupitia hata matendo ya wanyama.

Sayansi hujitahidi kuja na maelezo. Sikatai.lakini maelezo yao yote huishia ukingoni sehem flan. Watatoa maelezo yote ila kuna sehemu watakutajia maneno ambayo yana kikomo sehemu flan.
Wooote wapo makaburini ikiwa ni pamoja na manabii na wafalme ila moja tu lilibaki wazi naye huyoooo akaondoka mbele za macho ya umati kupaa huko ambako wanasayansi hata hawafikirii kuwahi kukaribia kwa njia za kisansi.
Hakyiyanani binadamu yeyote anapofika mda wa kukabiliana na uhalisia wa kile kilichoahidiwa kwake hasa kifo lazima aanguke na kusujudu kwake Huyu alie hai milele na milele na limboko la waliofufuka kwa kumshinda huyu adui wa wooote, yaani mauti.
Naye sii mwingine ila mfalme Yule , Bwana Yesu Kristo!
 
Uzi kama huu naenjoy kusoma comments za kilokole...msisahau kutoa na sadaka kwa mleta mada siyo kila Siku kumpelekea baba mchungaji tu.
 
Nmeckiaa kunaa jamaa Fulani. Hapa kwa majirani zetu Kenya. Ambao hawaamini kama kuna Mungu... Kwa maana hiyoo wanataka. Neno Good liondolewe kwenye wimboo wa taifa. Wametishia kupeleka. Mswada. Bungeni.
Tenaa wanasemaa.. Wakiskia hilo. Nenoo likitajwaa kwenyee Wimbo wa taifa wanaona kama wanatengwa...
Sasa xijajuaa hawaa wanaabudu ninii
Na jee hawa ndio ile dini inayomwabudu shetani
Auu ni. Wawapi..
 
Kama una amini mungu yupo kwa sababu Hujui siku ya kifo chako fanya hivi, kunywa sumu au jirushe kutoka gorofa refu. Kama kweli mungu tu ndo anajua siku ya kifo chako na yeye ndo ameipanga basi hutokufa maana utakua umeharibu ratiba ya mungu. Na ukifa ujue mungu hayupo au kama yupo basi hana uwezo wa kupanga kifo cha mtu maana mtu anaweza kujiua muda wowote anaotaka..
 
Kite

Kitendo cha mtu kufikiri a huo uhalo wa ko ulioandika ujue ndio mwisho wa uhai MUNGU aliokupangia kizazi cha nyoka Mko wengi
 
Kwa taarifa yako wanasayansi wameshaanza kupambana na kifo,kampuni ya google iko mbioni kugundua namna ya kuzuia ageing(kuzeeka) na hatimae kuzuia kifo kupitia kuzeeka na baadae kuzuia vifo kupitia njia nyingine pia!!....Kwa taarifa yako hii sayansi kali tuliyonayo sasa hivi kama vile computer,aeroplane,waves,radio,madawa,magari,tv e.t.c imegundulika chini ya karne mbili tu zilizopita,sasa wewe unafikiri binadamu atakuwa wapi miaka 1000,10000,100000 ijayo???.....kwa taarifa yako miaka ijayo suala la kuzuia kifo litakuwa ni sayansi ndogo sana!.
 
Niko ambaye Niko mwenye enzi yote Mungu wa milele Alfa na Omega wakuabudiwa ni yeye pekee
 
Yaan mambo tu yanayoonekana kwa hili jicho analoweza kutoboa scopion kwa bisibisi yanatoa ukwel wa uwepo wa Mungu,huna haja yakujifanya mjuuuuzi sana maana utamkosea, mwenyewe nimejionea ukuu wa Mungu wangu hata ktk ugawaji wa rizki zake
 
Kwa taarifa yako wanasayansi wameshaanza kupambana na kifo,kampuni ya google iko mbioni kugundua namna ya kuzuia ageing(kuzeeka) na hatimae kuzuia kifo kupitia kuzeeka na baadae kuzuia vifo kupitia njia nyingine pia!!....Kwa taarifa yako hii sayansi kali tuliyonayo sasa hivi kama vile computer,aeroplane,waves,radio,madawa,magari,tv e.t.c imegundulika chini ya karne mbili tu zilizopita,sasa wewe unafikiri binadamu atakuwa wapi miaka 1000,10000,100000 ijayo???.....kwa taarifa yako miaka ijayo suala la kuzuia kifo litakuwa ni sayansi ndogo sana!.
Keep hoping. God is always ahead of the pack.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom