Hapa ndipo ninapokichukia kikwapa////

Hapa ndipo ninapokichukia kikwapa////

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
hakijafichi
 

Attachments

  • 1433775752209.jpg
    1433775752209.jpg
    36.9 KB · Views: 1,025
Na lile linalotoka mgongoni je utaliitaje? Mi nadhani hilo ni jasho sio kikwapa, kikwapa ni ile harufu mbaya inayotokana na jasho linalonuka vibaya, je huyo umemsogolea ukamnusa ukakuta ananuka jasho baya. Sehemu yoyote ya joto ni lazima jasho litoke labda wewe unashinda kwenye AC tu tu
 
Inaelekea Le Bilionea alishtukia kikwapa chake kinatema ndo maana kanyanyua mkono nusu ila huyo jamaa mwingine duh
 
Kutoka jasho kuna faida kiafya, kama hutoki jasho katika mazingira ya kutoka jasho wewe una matatizo katika ngozi (pores) ina maana unaweza kuwa na mapele. jasho linanuka hata la kichwa tumbo mgongo. Ma dk elezeeni vema hili.
 
Back
Top Bottom