Tatizo hatusomani.
Mwanammke watakiwa kuwa msomi,( sio darasani)
unamsoma mwanaume, kwa mfano; mwanaume anakuja ili muwe wapenzi bila future yoyote kuna namna ya kuishi nae.
na mwenye future pia kuna namna ya kuishi nae.
kitu unachotakiwa kukisoma. hapendi nini ,anapenda nini?
ana tabia gani?
umeonana nae alipokuja umetambua nini kupitia sura yake.?
hata sms zinaweza kukutambulisha yuko katika hali gani?!
kwa mfano bwana umemtext kwa mmbwembwe kajibu mkato. umemuuliza shida nini kanibu mkato.
mpe pole ya kazi + good night usimsumbue .asubui mpe hi kama hakuna kinachoendelea...
mwingine yeye hapendi baby baby ndivyo alivyo.
basi ishi nae kama dozi , umeamkaje/umeenda kazini.
umepata lunch/warudi saa ngapi
pole na kazi usiku mwema.
wale wapenda kuchati wewe kutwa nzima text,piga ni sawa.
mtu umeonana nae ana hasira unamwambia baby nmeona gauni zuri atakutukana uanze kusema hupendwi.
siku akicheka sema shida zako.
ndo hivo jamani tuwasome tu hawa watu. tutafika nao tuu