Hapa ndipo mtamtambua Rais Magufuli

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
20170414_044611.jpg

20170414_044733.jpg
20170414_044702.jpg

20170414_044748.jpg
 
Watanzania mniombee!!!
Malaika waishi kama mashetani!!!!!?
Eti mpenzi wa Mungu!!!!!
Pia Mzalendo na anaumia kuona rasilimali za nchi yake zikiibiwa!!!!!
Ila hapa kazi na kweli kazi kama kazi zingine.....
 
Hayo siyo madudu ya mwaka jana. Tumia akili kdogo
Hata kama, suala ni kwamba Magufuli amekuwa yumo ndani ya serikali kwa 20+ years. Alishiriki vikao vya baraza la mawaziri na kupitisha sheria (Bungeni) na mikataba (Cabinet) ambayo ndiyo imezalisha hayo yaliyosemwa na CAG.

Magufuli ni sehemu ya hiyo mess.
 
Hayo ni madudu yaliyokuwepo wakati anaingia ambayo ndio anapambana nayo halafu nyie ndio mnampigia kelele.

Hata kama, suala ni kwamba Magufuli amekuwa yumo ndani ya serikali kwa 20+ years. Alishiriki vikao vya baraza la mawaziri na kupitisha sheria (Bungeni) na mikataba (Cabinet) ambayo ndiyo imezalisha hayo yaliyosemwa na CAG.

Magufuli ni sehemu ya hiyo mess.
 
Hata kama, suala ni kwamba Magufuli amekuwa yumo ndani ya serikali kwa 20+ years. Alishiriki vikao vya baraza la mawaziri na kupitisha sheria (Bungeni) na mikataba (Cabinet) ambayo ndiyo imezalisha hayo yaliyosemwa na CAG.

Magufuli ni sehemu ya hiyo mess.
CAG kasemaje kuhusu miundombinu?
 
Hata kama, suala ni kwamba Magufuli amekuwa yumo ndani ya serikali kwa 20+ years. Alishiriki vikao vya baraza la mawaziri na kupitisha sheria (Bungeni) na mikataba (Cabinet) ambayo ndiyo imezalisha hayo yaliyosemwa na CAG.

Magufuli ni sehemu ya hiyo mess.
Siyo Magufuli sema LOWASSA, SUMAYE, MASHA, MAGUFULI, KINGUNGE, MAHANGA Wote walikuwemo ACHENI UNAFIKI WA MWENDOKASI. Tena hata ni bora MAGUFULI Ana Legacy TANGIBLE ya kujivunia ( WIZARA YA UJENZI + UVUVI ) Sasa hao wengine wana kitu gani cha kujivunia zaidi ya kuwa MIJIZI, MIPENDA MADARAKA NA KUUZA NCHI
 
Back
Top Bottom