Any principled man akiona kile anachokiamini hakitekelezwi, uachia ngazi. Lakini kwa kuendelea kuwepo kwenye serikali kunamaanisha Magufuli alikubaliana na uamuzi uliofanywa. Hapa na-assume alipinga kweli kwenye Cabinet.
Lakini, Magufuli huyu mwenye historia ya kusifia safari za Kikwete hadharani, anaweza kuaminika kweli kama mtu aliye na guts za kupinga maamuzi kwenye Cabinet? I doubt it.
Complacency can't be an excuse. Magufuli is part of the reason for the mess.
Why not? Sasa nini maana ya kusoma kama huwezi kumwambia bosi wako unachofanya sivyo?!? Hata within the Cabinet! Ukiona husikilizwi, achia ngazi. Ila kuendelea kuwemo ni kuwa complacent na kukubali maamuzi yaliyotolewa.
By the way, Magufuli hana clean record. Kumbuka ndiye aliyeuza nyumba za serikali. He is a crook and thief already. Sasa ni kipi kinifanyaje niamini aliweza hata kupinga zaidi ya kukubaliana na uozo huo?
Nafikiri umeona ripoti ya CAG. Utendaji wake? Tayari ana mwaka mmoja na nusu, na sijaona hata direction na ajenda zake ni zipi! Kupambana ufisadi? Sidhani. Maana mahakama ya mafisadi imekosa wateja. Ferry ya kifisadi kaificha jeshini ili asihojiwe. Kutetea wanyonge? Sidhani pia. Kala fedha za rambirambi. Anavunja nyumba za watu bila kutoa compensation. Kubana matumizi? Sidhani. Kuendeleza utamaduni wa viongozi wa serikali kuishi kama celebrities: driven in fancy expensive cars, and flying first and business classes. Yeye kufanya ziara nchini kwa kutumia barabara, akiwa na entourage kubwa. Umeona gari mpya ya VP Samia? 2015 Mercedes GL class! Huku yeye akiendeshwa kwenye 2015/16 BMW 7i series.
I'm not impressed and convinced! Matter of fact, tatizo ni CCM!