Hapa Ndipo Kwenye Soko la Ajira.........

Hapa Ndipo Kwenye Soko la Ajira.........

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
tafakari tunakokwenda Youth-4-Unemployment.jpg
 
Jeshi la polisi ajiri hawa wote wakabiliane na ujambazi umezidi labda wanaweza kuudhibiti
 
Hali mbaya jamani,humo kuna watoto wetu tusiseme sana. Inabidi tuanze ujasiriamali ili wakimwagwa toka kwenye box wanakuta kitu fulani kimeshafanyika.
 
Watoto wa wakubwa hawamo kwenye hilo box, box lao linawakung'utia kwenye viti vya maofisini!
 
Back
Top Bottom