Hapa ndipo dada zetu wanapoanguka

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,545
Reaction score
89,086


Hivi sasa kumekuwa na jopo la wanawake kurudia wapenzi wao wa zamani baada ya kuona kule walipoenda mambo si mambo. Si kwa wote lakini.

Moja kati ya kiu kinachowasumbua viumbe hawa ni ile ndoto yao ya kuwa na mpenzi wa aina fulani. Kuwa na ndoto si kosa ila ndoto na uhalisia wa maisha ni vitu viwili tofauti.

Ambacho kinawaponza ni kutokujua usahihi, kila atakayempata humuona bado hajakidhi vigezohivyo huamua kutafuta njia nyingine na hapa huwa hana hakika ya kujua uamuzi alioufanya ni sahihi au si sahihi.

Usahihi ni upi?

Usahihi katika mapenzi ni kile kimfaacho mtu katika nyanja zake. Wanawake wa leo ni wale wanaotaka utimilifu wa mwanaume kimwili na kiuchumi. Kitu ambacho wamesahau viumbe hawa ni tabia,a mbapo hichi baadae ndio huwa majuto na husahihisha kile alichokiona hakifai.

Mwanamke ni heri kujua ni usahihi upi unauhitaji kwa mwenzi wako ili unapoingia kwenye huba ujue kile ulichokichagua ni sahihi. Moja kati ya kosa ni hili wanaume huweza kuingia kwenye mahusiano hata kama hajakupenda lakini huweza kukupenda akiwa ndani ya mahusiano. Mwanamke ukiipata nafasi hii itumie, ukimuacha muda utaongea nawe kama mambo yakikuendea kombo.

Ni heri kujenga maisha na yule uliyempenda na yeye akakupenda na kwenye mapenzi kila aliyependwa ni lazima aelewe kuwa kupendwa huko si sehemu ya kumuadhibu aliyekupenda.

Muda si kitu cha kutalii bali kutumia katika usahihi.

Mwambie unayempenda kuwa unampenda kwa usahihi.
 
Hivi unaanzaje kurudia mpenzi wa zamani?
Dicks zilivyozagaa zagaa hivi nikajirudishe kwa mpenzi wa zamani!!!!heri nianzishe mahusiano na wanaume wapya kila siku ama niwe single

Hayo mengine siyajui buuuut kama ilivyo mpenzi hasomeshwi basi hata mpenzi wa zamani harudiwi
 
Sikupingi ila huenda labda break up zako zinakuaga za kimarumbano na visasi. Ila kama mtu mlikua na happy ending waeza ukajikuta umerudi
 
So upo kwenye relation kwa ajili ya DICK?
 
Sikupingi ila huenda labda break up zako zinakuaga za kimarumbano na visasi. Ila kama mtu mlikua na happy ending waeza ukajikuta umerudi
Sina uhakika break up yenye happy ending ikoje

Nina break up moja hadi sasa,haikuwa ya ugomvi wala marumbano ya namna yoyote....but i'll never get back with him!!
 
Kumbe wewe unapenda sababu ya dick😂😂😅😅
 
duh dangaz
 
Kwani unaweza kutapika ukatamani kuyarudisha matapishi tumboni
 
Sikupingi ila huenda labda break up zako zinakuaga za kimarumbano na visasi. Ila kama mtu mlikua na happy ending waeza ukajikuta umerudi
Happy ending kwamba kikashindikana nini mka breakup
 
Mpenzi anasomeshwa Cherehani tu..

by the way are there for Dick??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…