Me nimeshawahi tumiwa sms inbox fb kama thelathin but huwa nawaignore..but kuna siku nikamzingua mmoja nikampa email alikuwa anaitwa mercy harry alikuwa na same story na kama haupo makini wanakuingiza kingi...then nikampiga bit kuwa ni usalama wa taifa wa tz na najua ip adress yake na pakumpata..akakimbia mazima.