Hapa napigwa au?

Mkuu unataka kutapeliwa kwasababu hakuna KATIBA MPYA,,haya yote kwasababu hakuna katiba mpya,,,,,tupate katiba mpya tutaishi kama tupo mbinguni[emoji13][emoji13]
 
Tahadhari kabla ya hatari. Kuna hatari inakunyemelea Ila kumbuka hakuna pesa ya bure. Huo ni mtego na chambo ndo hicho unaambiwa.
 
Ukisikia kupigwa kweupe ni huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu sikuzote ukiona hela ya nje njea ua hela nyepesi tuuu shtuka na jua unataka ibiwa
 
Halafu mnashanikia kukaa maporini, utapeli Kama huu hakuna mtoto wa mjini hata wa miaka 10 utamdanganya.
 

Kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba huna shule... kingreza chako kinathibitisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…