Umeleta hapa kama kichekesho au uko serious? Utapeli wa aina hii mbona umepitwa na wakati kabisa na mtu lazima uwe mjinga kweli kweli ndiyo unaweza kuchukulia serious mambo kama haya! Yaani haingii akilini hata kidogo mtu anataka kukupa mshahara baada ya kufanya kazi lakini anakumbia kuwa lipi ada kwanza ku-activate mshahara wako! Bwana mdogo fanya mambo ya maana na acha kushughulika na nonsense kama hii!GT, kuna massage nimetumiwa WhatsApp kwamba unaweza fanya kazi online na kupata elf 50 kwa siku jamaa akanipa link nikaicopy na kuingia humo ni video za tiktok.
Sasa kilichonichanganya wanataka kwanza niwaingizie 5000 halafu naweza pata 10,000/= kwa 5 - 10min angalia screen short [emoji1484]View attachment 2239307
😀😀😀i haven't that money mchezo umeisha hapo
It's probably not....RUNIf it seems too good to be true............................
I'm understand [emoji58][emoji58]i haven't that money mchezo umeisha hapo