Bora ata iyo ,ila kuna sehema sijui wasup au hawa watengenezaji wa sim sana sana ktk app nazungumzia androd,,, sijajua nia yao na lengo lao nn kuna app inaitwa phonex kwanza ina shida sana maana ujumbe kila muda ila shida nyingine inaonyesha chochote ulichotuma mwanzo ilikua inabak wasup sent ila sasa iv naona sim nyng inakua inaonyesha ,shida inakuja kwa mtu asiefaham ,ni hatar kwa usalama.