Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 763
Haya mapenzi ya namna gani aisee.
Eti mtu unaumwa, Afu unamjulisha mpenzi wako kuhusu hali yako,
Baada ya hapo anakaa kimya, hakupigii wala kukutumia text kuuliza anaendeleaje,
Wewe tu ndo unampigia tena kumwambia hali yako.
Hivi haya ndo mapenzi ya siku hizi au kuna sehemu yanapitishwa?