Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Na mda mrefu sija pata ulimi na different sexxxxxxmwenzangu naona ulimi unaslip tu hapa hahhahahahahahhaha
Na mda mrefu sija pata ulimi na different sexxxxxxmwenzangu naona ulimi unaslip tu hapa hahhahahahahahhaha
hebu jaribu kuomba mzigo, akikubali ujue bado hajakutoa rohoni, maana yake bado anataka mueendelee kama zamani. unakula mzigo na misaada unaendelea kutoa.
buddy aint wan de gal,reminiscing aint dat gud yu knw war am sayin,dwin t clean or nasty dem shit aint that yummy!
kuna posibility huyo msichana anataka 'game za kirafiki'
so kama wewe uko ready kazi kwako
Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena tunaheshimiana as a friend.
Sasa kaja na sera km za enzi zile "(naomba nikopeshe)" hizi huwa harirudishwagi.
Kilichonishtua kisingizio kuwa mr wake alijisahau akasafir na ATM card, so atarudisha Jamaa akirudi, ila mie najua siku hizi kuna njia kibao za kutuma pesa.
Je nikimpa atarudisha? Kiukweli sitakuwa na nguvu ya kumdai km hatarudisha mwenyewe.
HII IMEMTOKEA RAFIKI YANGU SO KAJA KUOMBA MAWAZO KWANGU.
so akimbie?
mi nna nongwa gani wakati naona kwa macho yangu HAKIMILIKI yako inahujumiwaBinti una nongwa wewe.............
kwa sasa hiv hana ajira coz aliacha ili akaishi karibu na mumewe,
hata hivyo hawapo karibu na huyo rafiki yangu(wapo mikoa tofauti) so alitaka azitume kwa njia ya m-pesa, kitu ambacho rafiki yangu anadai mumewe angeweza kufanya kama issue ni kuondoka na kadi tu.