Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,277 Reaction score 98,320 Aug 22, 2021 #1 Watanzania tumeaminishwa kuwa tunapewa elimu ya bureeee kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4. Katika kutekeleza huo mpango wizara imeonyesha kuwa inafanya mipango kisiasa tu badala ya kuhakikisha kuwa inatimiza malengo kisayansi. Tazama wanafunzi wa madarasa mawili tofauti wanasomea ktk chumba kimoja cha darasa. Hapa mwanafunzi atachukua la mwalimu yupi ili aelewe anachofundishwa? Hivi waziri hawezi kuona kuwa yeye ndiyo adui wa kwanza kwa elimu yetu? Tazameni hapa chini na msikilize walimu wenyewe nini wanasema juu ya haya madhaifu. Your browser is not able to display this video.
Watanzania tumeaminishwa kuwa tunapewa elimu ya bureeee kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4. Katika kutekeleza huo mpango wizara imeonyesha kuwa inafanya mipango kisiasa tu badala ya kuhakikisha kuwa inatimiza malengo kisayansi. Tazama wanafunzi wa madarasa mawili tofauti wanasomea ktk chumba kimoja cha darasa. Hapa mwanafunzi atachukua la mwalimu yupi ili aelewe anachofundishwa? Hivi waziri hawezi kuona kuwa yeye ndiyo adui wa kwanza kwa elimu yetu? Tazameni hapa chini na msikilize walimu wenyewe nini wanasema juu ya haya madhaifu. Your browser is not able to display this video.
UP TO DATE JF-Expert Member Joined Apr 20, 2021 Posts 739 Reaction score 907 Aug 23, 2021 #2 Damn it! Mambo gani haya,,afu bado siasa kibao kwenye Mambo mengi ya kipuuzi tu...
UP TO DATE JF-Expert Member Joined Apr 20, 2021 Posts 739 Reaction score 907 Aug 23, 2021 #3 Damn it! Mambo gani haya,,afu bado siasa kibao kwenye Mambo mengi ya kipuuzi tu...