Hapa mwanafunzi atajifunza lipi?

Hapa mwanafunzi atajifunza lipi?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Watanzania tumeaminishwa kuwa tunapewa elimu ya bureeee kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4.

Katika kutekeleza huo mpango wizara imeonyesha kuwa inafanya mipango kisiasa tu badala ya kuhakikisha kuwa inatimiza malengo kisayansi.

Tazama wanafunzi wa madarasa mawili tofauti wanasomea ktk chumba kimoja cha darasa.

Hapa mwanafunzi atachukua la mwalimu yupi ili aelewe anachofundishwa? Hivi waziri hawezi kuona kuwa yeye ndiyo adui wa kwanza kwa elimu yetu?

Tazameni hapa chini na msikilize walimu wenyewe nini wanasema juu ya haya madhaifu.

 
Damn it! Mambo gani haya,,afu bado siasa kibao kwenye Mambo mengi ya kipuuzi tu...
 
Damn it! Mambo gani haya,,afu bado siasa kibao kwenye Mambo mengi ya kipuuzi tu...
 
Back
Top Bottom