Hapa mlipofika Tanesco, mnataka kuua watoto wetu

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,354
Yaani na hili joto lote la Dar, Tanesco mnaamua kukata umeme. Jana mmekata umeme usiku mkarudisha saa sita usiku. Watoto wanapata joto mpaka wanaumwa. Wengi sasa wanavipele kwenye miili yao.

Huku tunakoelekea sasa mtaua watu. Biashara za watu wanaohitaji umeme mshawatia hasara. Sasa mnaelekea kuchukua uhai wa watu.
 
Back
Top Bottom