Hapa mkulu wa dunia kasahau nini?

Hapa mkulu wa dunia kasahau nini?

Wengine bora uwaweke jela siku nzima kuliko amuachie simu yake wife kwa masaa matatu
 
Ha ha ha ha........jamaa anakuwaga na msaidizi wake fulani hivi wa kumkumbusha kila kitu, nilicheki hiyo makala MSNBC khs maisha ya Obama White House....naona hapo wote wawili walipitiwa.
 
Back
Top Bottom