Hapa mkoa gani unahusika?

Hii kama kweli ni TZ basi si issue ya mkoa ila ni suala la mfugaji binafsi
 
Itakuwa hapo ni ushirikina wa kuzika kiganja cha mkono wa walbino maana kila kukicha tunayasekia hayo kumbe shuguli ndo hiyo
 
Duh alitaka kufanana na wassira lakini siyo yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…