Hapa mie napita tu leo, no comment!

Hapa mie napita tu leo, no comment!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
FB_IMG_1521440987282.jpeg
 
Hapa siyo Tz kabisa.
Kama ni Tz jiandae kutekwa kwa kupiga picha na kui-post.

Tunakimbilia kwenye Viwanda, wewe mchochezi unaturudisha kwenye Madawati.
 
Hata ikiwa ni Tanzania, hili ni jukumu la halmashauri husika na wadau wake wa elimu, wadau ni wazazi, wananchi,na viongozi, wanasiasa kama wabunge na madiwani. Si swala la central government hili, ndio maana ilihuishwa serikali za mitaa nchini, 1982.
 
Tunapambana na hali zetu si hatutaki kuchangia tunanunua smartphone na vocha ili tupost utumbo.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom