Lowassa ni Mmasai Fisadi ambaye kivuli cha nguvu zake za kisiasa ndio mhimili wa sasa wa CCM(Mkutano mkuu, NEC, Jumuiya), Bunge(Spika, Kamati), Dola(Cabinet, Army, Ikulu, TISS, PCCB)Huyu Lowasa ni nani ktk nchi hii, kwa nini mna mwogopa kiasi hicho? Utakuta kila mleta mada Lowasa,lowasa,lowasa
*Ukweli ni kwamba Mkwele amefanya maamuzi hayo baada ya kushauriwa na kushinikizwa na wazee wastaafu especially Mkapa.Mchambuzi: Maelezo yako ni so objective and inspring! Yote tisa, kweli Mwigulu mjaa matusi ya nguoni amepwa cheo kikubwa hivyo ndani ya CCM? CCM inawawapelekea ujumbe gani vijana, watoto na wajukuu zetu kuhusu maadili kupitia Mwigulu? Nimechoka kabisa.
By the way may I ask you a couple of questions just out of curiosity. Kinana imekuwaje amerudi kwenye siasa wakati alishaaga? Je Mzee Man'gula hatachoshwa sana na hizi siasa za makundi ndani ya CCM ambazo Mwenyekiti ameshindwa kuzimaliza kwa takribani miaka saba baada ya kubwagwa Ukatibu Mkuu mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2005? Is this not sheer manipulation taking advantage of the humble and wise old man into a messy situation created by a sect of selfish and incompetent ruling clique? Can he really untangle the numerous complicated knots?
Huyu Lowasa ni nani ktk nchi hii, kwa nini mna mwogopa kiasi hicho? Utakuta kila mleta mada Lowasa,lowasa,lowasa
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; ;
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;
Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;

*Ukweli ni kwamba Mkwele amefanya maamuzi hayo baada ya kushauriwa na kushinikizwa na wazee wastaafu especially Mkapa.
*Why so?
Kikwete anaogopa sana kuona chama kikimfia mikononi mwake (which is so obvious kinakufa) hivyo kukwepa lawama mambo yatakapo haribika ni bora kuonyesha ''He took a concerning from experinced wise people prior''
*Kifupi inasemekana chaguo la kwanza la Kikwete nafasi ya Umakamu lilikuwa bado kwa Pius Msekwa, katibu mkuu ama Asharose Migiro vs Nape Nnauye.
Mchambuzi,
Mara nyingi huwa naungana mkono na mawazo yako na hoja zako lakini huwa unanishangaza sana unapo sympathize na wapinzani kwamba walichakachuliwa kura za urais 2010 sijui huwa unaogopa kupoteza support ya watu hapa JF au la lakini kwenye hili ungekuwa realistic uwaambie tu rafiki zako kwamba mgombea wao Slaa alibwagwa. Kwa kufanya hivi utakuwa umewasaidia sana na pengine wataongeza nguvu kuliko hivi sasa ambapo unawatia moyo kwa kuashiria kuwepo kwa uchakachuzi 2010 halafu wana relax wakifikiria 2015 ndio wanaingia Ikulu. Sisi wote tunafahamu masanduku huwa transparent na kila mtu anaona kinachoingia na kura zinahesabiwa kila kituo na matokeo yanabandikwa.
Baada ya uchaguzi huu wa Mwenyekiti wenu wa ccm na makamu wake tumeshuhudia vilio toka kwa wanaccm wenyewe wakilia kuchezewa rafu, kuibiwa kura zao, kuchakachuliwa matokeo ya kura zao.
Wameelezea kwamba makamu mwenyekiti bara alipata kura 50 za hapana na makamu mwenyekiti zanzibar alipata kura za hapana 48. Kama hiyo haitoshi tumeambiwa mwenyekiti aliponea chupuchupu kung'olewa kwani hadi nusu ya kura zilizokuwa zimehesabiwa kura za ndio na hapana zilikuwa zinakwenda sambamba hadi matson chizii alipotoka ndani ya chumba cha kuhesabia kura akaenda kusikojulikana na baadae akarudi na usalama wa taifa na green guard, wakawatoa nje wajumbe wote waliokuwa wanahesabu kura na wao wakafanya kazi hiyo.
Katika matukio mengine ya uchaguzi wa ndani ya ccm ambapo wanaccm wenyewe wamekuwa wakilalamika kuchakachuliwa ni dhahiri kwamba ccm ni mafundi wa kuchakachua na ukweli wa kura za uraisi kuchakachuliwa katika uchaguzi mkuu wa 2010 uko dhahiri, na hata majimboni katika nafasi za ubunge, udiwani, umeya na uenyekiti wa halmashauri mchezo ni huo huo.
Kwahiyo anachoandika Mchambuzi ni mawazo yake ambayo ukiyatazama kwa kina utaona yana ukweli kwa sehemu kubwa sana, na si suala la kuogopa ama kutafuta support ya wanaJF.