HAPA KWELI KAZI ITAFANYIKA JAMANi?

HAPA KWELI KAZI ITAFANYIKA JAMANi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1517700_10202020662392494_1945035793_n.jpg


Kamata magari pombe nayo haina adabu imemkamata askari huyu yupo hoi bin taabani............
 
hapo madereva ndo wanafurahia mana wanamchana speed 160 hapo hapo na hata kama akistukia akakamata anaongezewa kili bariidi atalala tu. . . .lol!
 
1517700_10202020662392494_1945035793_n.jpg


Kamata magari pombe nayo haina adabu imemkamata askari huyu yupo hoi bin taabani............
Anapunguza ma stress ya kushinda juani kufukuzia elfu moja moja toka kwa madereva, huku baba mwenyenyumba akimsubiri kwa hamu
 
Back
Top Bottom