HAPA KUNA WADADA WAPO SERIOUS!!

HAPA KUNA WADADA WAPO SERIOUS!!

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
habari Ndugu zangu,
Huwa napitia saana Uzi mbali mbali humu na ni memba wa muda mrefu saana, naona comment na baadhi ya post zinaonyesha kuwa masichana wastaarabu, wanajitambua pia kuna wanaohitaji ila wanashindwa kuwa public.....
Naomba kama kuna muhtaji yoyote kama Mimi namaanisha, mahusiano,mapenzi for future basi naomba wadada msiendelee kuumia na upweke, naomba tukutane PM tufahamiane huwezi juma Mungu kapanga tukutane wapi.....
 
Back
Top Bottom