Amoxlin JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,781 Reaction score 4,118 Sep 13, 2016 #2 Hapo kuna boya kalamba mzinga wa bro hapo. Vunga uone kitakachotokea.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Sep 13, 2016 Thread starter #3 Amoxlin said: Hapo kuna boya kalamba mzinga wa bro hapo. Vunga uone kitakachotokea. Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamooo kaka jambazi
Amoxlin said: Hapo kuna boya kalamba mzinga wa bro hapo. Vunga uone kitakachotokea. Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamooo kaka jambazi
cai JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 1,351 Reaction score 1,331 Sep 13, 2016 #4 hiyo picha ya kwanza hapo juu ni mzumbe university, kwenye matank ya kusafishia maji machafu, madogo wa changarawe wanavuaga kambale humo maeneo......... ila nasikia had vibua wanapatikanamo ETI
hiyo picha ya kwanza hapo juu ni mzumbe university, kwenye matank ya kusafishia maji machafu, madogo wa changarawe wanavuaga kambale humo maeneo......... ila nasikia had vibua wanapatikanamo ETI