Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Yawezekana na ww ukawa ni mhanga wa haya mapenzi yanayoanzia safarini.
Mfano imetokea mmekaa seat zinazokaribiana wakati wa safari aidha mnatoka Arusha kwenda Dar mkiwa jinsia tofauti mnaanza story njiani mpaka mnapofika mwisho wa safari mlishakuwa wapenzi.
Je kwa huo muda tu umewatosha kuanzisha mapenzi?
Niseme ukweli nami niliwahi kuwa mhanga wa haya mapenzi lakini hayakudumu nahisi hisia zilinitawala.
Bora hata hyo ya safari ndefu sasa hii mmetoka sinza mpaka posta tayari mlishakuwa wapenzi dah mimi kwangu naona wizi tu hapa.
Je kuna mapenzi ya dhati hapa wanaJF?