Mkuu hujui siku hizi sio lazima uende Mikumi au serengeti? Ukiona dege la jeshi la waarabu linatua pale KIA au JNIA we nenda tu, utaona hadi simba akipakiwa wazimawazima.Bavicha mapimbi wengi sana hivi wewe tembo zaidi ya kuwaona kwenye picha uliwaona wapi? hiyo Mikumi na Serengeti unaisoma Tanzania Daiam
Chama mashine kubwa nipo hapa kuwaelemisha waganga njaa kama wewe ili muondakane na ufinyu wa akili na mawazo; unakesha kutwa kucha JF kula kwa mjomba kulala kwa shangazi vwakati kahaba na mzinifu mkubwa kajipa mkopo wa zaidi ya milioni 140 ajijengee hekalu hivi huoni wako ni upimbi ambao hauna mfano??
Mkuu hujui siku hizi sio lazima uende Mikumi au serengeti? Ukiona dege la jeshi la waarabu linatua pale KIA au JNIA we nenda tu, utaona hadi simba akipakiwa wazimawazima.
Kuna wale walijikopesha pesa za EPA wakapewa muda wa kuzirudisha bil a riba na kusamehewa, hivi zile zilikuwa bilioni ngapi tena? Halafu kuna wale wameficha mabilioni Uswisi nazo sijuibungeni ni pesa kiasi gani ukiachilia ufisadi bungeni na huko kwenye halimashauli za wilaya. Kidumu chama cha majizi.
Bavicha mapimbi wengi sana hivi wewe tembo zaidi ya kuwaona kwenye picha uliwaona wapi? hiyo Mikumi na Serengeti unaisoma Tanzania Daiam
Pimbi ni wewe na hao waloshika jembe hapo, Bavicha wapo makini
Sana kama huamini kamuilize Nepi.
laws of physics and nature dont apply anymore ila kila anayekwama lazima amekosana na mtu akamwombe msamaha
p.u.m.b.v
Haha.....ktk haya majumuisho ya vituko..ni wazi kuna mtu anahitaji tubu kwa mch.Msigwa..kisha kwa watanzania.
View attachment 125326View attachment 125326Kwa maigizo haya ....itarejea kweli?
kumtambulisha Asha Migiro......
Haha.....ktk haya majumuisho ya vituko..ni wazi kuna mtu anahitaji tubu kwa mch.Msigwa..kisha kwa watanzania.
View attachment 125326View attachment 125326Kwa maigizo haya ....itarejea kweli?
kumtambulisha Asha Migiro......
kwenye baadhi ya picha hujifanya wanabeba matofali au kulima lakini hapo wako ndani ya gari wanaogopa tope! huku wakiwaacha viroba wasukume na kuchimba tope.
We mtu nakuonea huruma sana wenzako woteeee (Nicholas Mzito Kabwela Nyakageni Yeriko nyerere Matola Mlaleo na wengine weeeeeeeengi)wanaichukia sana uislam na wewe hilo jina lako zuri wao hawaipendi kabisa.stuka akhui stuka!!!!! Cc Ritz Boko haram kahtaankwenye baadhi ya picha hujifanya wanabeba matofali au kulima lakini hapo wako ndani ya gari wanaogopa tope! huku wakiwaacha viroba wasukume na kuchimba tope.
Muungwana wewe hebu nieleze katika hao wachumia tumbo yupi yuko makini?
Na yule babu kahaba mzinifu zile alizojikopesha kujenga hekalu alizilipa?
Tembo wa Serengeti wanazaa tu kama kawaida hawapo kwenye uzazi wa mpango!
Ni tubu gani utakayoipata kwa mzinifu na muongo?? Haya yanafanyika kwa nyie mnaoabudu hao wazinifu na waongo!
mkuu sijaona uhusiano wa picha yako unaoonyesha ubovu wa barabara uliosababisha gari kukwama kitu ambacho ni physical na obvious na kutubu kitu ambacho ni moral. Makengeza niniHaha.....ktk haya majumuisho ya vituko..ni wazi kuna mtu anahitaji tubu kwa mch.Msigwa..kisha kwa watanzania.
View attachment 125326View attachment 125326Kwa maigizo haya ....itarejea kweli?
kumtambulisha Asha Migiro......
inajulikana wapi wachumia tumbo walipo, huko huko gambani
katika umri wa miaka 52 wameshindwa kuonesha umakini hata kwenye
kusimamia elimu yetu achilia mbali rasilimali.