Hapa kuna haja ya mtu kutubu kwa Mchungaji Msigwa...

Bavicha mapimbi wengi sana hivi wewe tembo zaidi ya kuwaona kwenye picha uliwaona wapi? hiyo Mikumi na Serengeti unaisoma Tanzania Daiam
Mkuu hujui siku hizi sio lazima uende Mikumi au serengeti? Ukiona dege la jeshi la waarabu linatua pale KIA au JNIA we nenda tu, utaona hadi simba akipakiwa wazimawazima.
 
Chama mashine kubwa nipo hapa kuwaelemisha waganga njaa kama wewe ili muondakane na ufinyu wa akili na mawazo; unakesha kutwa kucha JF kula kwa mjomba kulala kwa shangazi vwakati kahaba na mzinifu mkubwa kajipa mkopo wa zaidi ya milioni 140 ajijengee hekalu hivi huoni wako ni upimbi ambao hauna mfano??

Kuna wale walijikopesha pesa za EPA wakapewa muda wa kuzirudisha bil a riba na kusamehewa, hivi zile zilikuwa bilioni ngapi tena? Halafu kuna wale wameficha mabilioni Uswisi nazo sijuibungeni ni pesa kiasi gani ukiachilia ufisadi bungeni na huko kwenye halimashauli za wilaya. Kidumu chama cha majizi.
 
Mkuu hujui siku hizi sio lazima uende Mikumi au serengeti? Ukiona dege la jeshi la waarabu linatua pale KIA au JNIA we nenda tu, utaona hadi simba akipakiwa wazimawazima.

Tembo wa Serengeti wanazaa tu kama kawaida hawapo kwenye uzazi wa mpango!
 
Kuna wale walijikopesha pesa za EPA wakapewa muda wa kuzirudisha bil a riba na kusamehewa, hivi zile zilikuwa bilioni ngapi tena? Halafu kuna wale wameficha mabilioni Uswisi nazo sijuibungeni ni pesa kiasi gani ukiachilia ufisadi bungeni na huko kwenye halimashauli za wilaya. Kidumu chama cha majizi.

Na yule babu kahaba mzinifu zile alizojikopesha kujenga hekalu alizilipa?
 
laws of physics and nature dont apply anymore ila kila anayekwama lazima amekosana na mtu akamwombe msamaha

p.u.m.b.v
 
Bavicha mapimbi wengi sana hivi wewe tembo zaidi ya kuwaona kwenye picha uliwaona wapi? hiyo Mikumi na Serengeti unaisoma Tanzania Daiam

Pimbi ni wewe na hao waloshika jembe hapo, Bavicha wapo makini
Sana kama huamini kamuilize Nepi.
 
laws of physics and nature dont apply anymore ila kila anayekwama lazima amekosana na mtu akamwombe msamaha

p.u.m.b.v

Haha..usijifanye unajua physics ktk siasa mwehu wewe?unajua physics gani?Waulize wanachimba wapi na tairi ipi inahitaji msaada.Waulize ni resistance kiasi gani wanahitaji ya kushikilia tairi za ndani na engine power ili kusaidia hizo tairi zilizozama zitoke?

NIkusaidie tuu:Kinana anateseka hivyo ktk siasa kwa vile ana laana ya msigwa,tangu day one...ndio maana kafika ktk njia mbaya,anajitahidi sana ktk maigizo ila wapi
 
Haha.....ktk haya majumuisho ya vituko..ni wazi kuna mtu anahitaji tubu kwa mch.Msigwa..kisha kwa watanzania.

View attachment 125326View attachment 125326Kwa maigizo haya ....itarejea kweli?

kumtambulisha Asha Migiro......
IMG_2518.jpg

kwenye baadhi ya picha hujifanya wanabeba matofali au kulima lakini hapo wako ndani ya gari wanaogopa tope! huku wakiwaacha viroba wasukume na kuchimba tope.
 
kwenye baadhi ya picha hujifanya wanabeba matofali au kulima lakini hapo wako ndani ya gari wanaogopa tope! huku wakiwaacha viroba wasukume na kuchimba tope.

Mbaya zaidi wananchi hawana hata muda kujua km wapo mitaani kwao....amini nakuambia Mtoi ,njia hiyo hiyo ukipita ukakwama ungekuwa n awatu kibao..ila katibu mkuu wa chama na gari la bei mbaya hajavuta attention hata ya nyani wale wapenda makombo ya binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Muungwana wewe hebu nieleze katika hao wachumia tumbo yupi yuko makini?

inajulikana wapi wachumia tumbo walipo, huko huko gambani
katika umri wa miaka 52 wameshindwa kuonesha umakini hata kwenye
kusimamia elimu yetu achilia mbali rasilimali.
 
ccm vs cdm, majanga.... tutaona mengi kuelekea 2015.

mimi naona tuanzishe vita na wazungu kudai mali zetu, kwa sababu africa yote masikini
au raisi wa africa awe yule kamanda wa AL- SHABAB.

hapo si poa au vp??
 
Na yule babu kahaba mzinifu zile alizojikopesha kujenga hekalu alizilipa?

ivi wewe na huyo unae mwita babu nani kahaba??sababu bora hata huyo kuliko wewe unafanya ukahaba na watu wa jinsia yako ndio mana hadi ukaja kuwa kua naye ni kahaba hakika ulipigwa msasa wa kutosha hadi unamsifia. Sababu najua huwezi kumuita mtu kahaba kama hajawahi fanya huo ukahaba na wewe ,sasa hadi unatoa ushuhuda kweli ulikolezwa mkuu.
 
Haha.....ktk haya majumuisho ya vituko..ni wazi kuna mtu anahitaji tubu kwa mch.Msigwa..kisha kwa watanzania.

View attachment 125326View attachment 125326Kwa maigizo haya ....itarejea kweli?

kumtambulisha Asha Migiro......
IMG_2518.jpg
mkuu sijaona uhusiano wa picha yako unaoonyesha ubovu wa barabara uliosababisha gari kukwama kitu ambacho ni physical na obvious na kutubu kitu ambacho ni moral. Makengeza nini
 
inajulikana wapi wachumia tumbo walipo, huko huko gambani
katika umri wa miaka 52 wameshindwa kuonesha umakini hata kwenye
kusimamia elimu yetu achilia mbali rasilimali.

Hizi ndio akili fupi tunazoziongelea serikali imeanzisha VETA ili watu wasome na kuiendeleza wewe kwa ujinga wako umejigeuza mpigania uhuru; mwenzako babu maejikopesha hela za kujenga hekalu sasa huo mwaka wa Chadema kuchukua nchi haupo wewe kaa na ujinga wako!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom