englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Msosi wake ni mbuzi 2 na wali debe 1,maji ya kunywa lita 5 huo ni mlo mmoja tu
Mnyama kazi huyo.
pugu boyz.........mh hili jina mkuu wetu wa shule alilizoea umemaliza shule gani ya sekondari ?