Hapa kazi tu...!!

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,635
37,849
kosa.jpg
 
KUCHAPANA duh
Mkuu unakumbuka enzi za primary? Chora saba ni kushika dole gumba then mwalimu anachapa pale kwenye kiunganishio cha mgongo na makalio - aisee yalikuwa mateso makali sana!!
 
Yeah u i like it maana hakuna namna hata mtu akimtukana mzee tukimpeleka mahakamn ina maana tutalundika mizigo ya jesi kwa hakim
 
Yeah, ni kumalizana hapo hapo, mtu akiwa mkorofi, mvivu wa mtaa, anaitwa kwenye kikao cha kijiji anasomewa tuhuma zake na anahukumiwa hapo hapo - fimbo 30 ikiwa ni adhabu ya juu na fimbo 12 ikiwa adhabu ya chini.

Hawa wavivu, vibaka na wazururaji mbona tunawaweza hapa hapa kijijini tu, kwenda mahamani ni kupoteza hela ya mafuta na muda pia ni kuwasumbua mahakimu kwa kesi zenye ushahidi wa waziwazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom