Hapa kazi tu

Hapa kazi tu

Huyu chalii anazingua sana hapa mtaani.... Juz kaiba flat na redio kwa jiran hapa kona ya meku.... ipo siku yake
Ngoja nifuatilie kama hawa Policcm wamemwachia
 
Two way mitaa ya Kwa kimati upande wa kushoto kabla hujafika wanapouza mbao kuna barabara imepinda kushoto ndo kwenye ile kona kuna dada ana mpesa duka
 
Nshapajua.... Huku mtaa tushamwekea mtego... Akiiba tena tunakata vidole....
 
Two way mitaa ya Kwa kimati upande wa kushoto kabla hujafika wanapouza mbao kuna barabara imepinda kushoto ndo kwenye ile kona kuna dada ana mpesa duka
Siku akisogea pande za jangwani kwa maza uniambie.... ntatuma machalii toka chuga
 
Kama ni mimi nisingetoka Ndani mwezi mzima kwa aibu kama hii
 
Back
Top Bottom