Kasi ya hapa kazi na tumbua majipu ya ufisadi inayofanywa na Rais Magufuli imewaathiri wabunge wa ukawa kwani wamenywea kama vile na wao ni wahanga wa majipu. Furaha ya wabunge wa ukawa imepungua kwani wamekosa hoja za kukabuliana na Serikali ya Magufuli kwani kwasasa Serikali inafanya kazi kwa spidi ya kasi na ufanisi wa hali ya juu.
Wabunge wa Ukawa wanarudi majimboni na wengine wakipotelea jijini Dar kimyakimya kwani hakuna wanachokifanya bungeni na kuonekana ni wababaishaji mbele ya jamii. Hivi sasa wabunge wa ukawa hasa wa chadema wanajificha na kuogopa hata kufanya ziara za kutembelea wananchi kwani kila kitu Mbele ya Rais Magufuli kinafanyiwa kazi,
Wapi kelele za kubenea, Mnyika, Msingwa and etal. wote hoi.
kwa ushauri tu mkitaka legacy yenu iwejuu muungeni mkono na Rais katika kufanya kazi (HAPA KAZI TU) na kutumbua MAJIPU ili mheshimike mbele ya Watanzania ili mkiendelea na ngonjera na maigizo yenu bungeni mtazomewa mtaani