Hapa jukwaani kuna vituko! hata kama una siku mbayw utatabasamu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,061
Hii ni habari inayomhusu faru John ila picha inayotokea kwa juu ya thread ni faru la gari
...duh
Tupia na zako zilizokuacha hoi..
hii ni kama unatumia Jf application

IMG_201612363_075938.jpg
 
Ndiyo sababu wengi tumekuwa addicted hapa, unapata habari za ndani na nje ya nchi na pia burudani ya kutosha kabisa. Mie huwa nacheka sana humu kwa vichekesho mbali mbali kutoka wachangiaji wa humu.
JF unaweza kujikuta unacheka mwenyewe tu na kama uko karibu na watu wakashangaa unacheka nini! Idumu siku zote
 
Na ndio inazidi kunoga kila siku. Washkaji masela boti wanafunzi watumishi wakazi wote wanazid kujiunga kila siku humu Kuna WATU wenye majina makubwa unakuta ndio ma comedy wetu humu usikute wakina jingalao ni viongozi wakubwa
 
Mkuu tupia kapicha ukicheka basi tushuhudie.

Ndiyo sababu wengi tumekuwa addicted hapa, unapata habari za ndani na nje ya nchi na pia burudani ya kutosha kabisa. Mie huwa nacheka sana humu kwa vichekesho mbali mbali kutoka wachangiaji wa humu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aisee mie hiyo ya kucheka mwenyewe hunitokea sana tu. Kuna watu wanajua sana kucheza na maneno humu yaani ukisoma unabaki na kicheko cha hali ya juu. JF ni burudani tosha halafu kwenye idara ya habari hapa ni mwisho. Huwezi amini saa nyingine nikisikia kitu kimetokea ndani au hata nje ya nchi sehemu ya kwanza kukimbilia ni hapa JF na si mahali pengine popote pale, na mara nyingi JF huwa hainiangushi. Idumu JF na mashetani na dhana yao washindwe kabisa.

JF unaweza kujikuta unacheka mwenyewe tu na kama uko karibu na watu wakashangaa unacheka nini! Idumu siku zote
 
Kuna siku nliona avatar zote humu zimegeuka na kuwa uso wa nyani, ikiwemo yangu sijui jf walifanyaje au kuna kitu gani kilitokea..!!
Nilibaki nacheka tu....
 
Back
Top Bottom