Hapa January Makamba alimlenga nani hasa ndani ya CCM?

Hapa January Makamba alimlenga nani hasa ndani ya CCM?

Pia kushindwa kwa CCM ya Sasa kuendana na hoja za zama hizi. Polepole mchango wake ni mkubwa sana kwenye harakati hizi za Gen Z.

Titicomb
Ule ujasiri wa kuacha ulaji ubalozi na kuja kupambania mabadiliko uliwafanya GenZ wapate matumaini mapya ya nchi yao mpya ambayo ni corruption free na kupinga nepotism.
Kifupi waliweka imani kwake hawezi kuwauza, hapiganii tumbo lake.
 
Back
Top Bottom