Je, Diamond kathibitisha Ommy ni bwabwa?

Status
Not open for further replies.

Page 94

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
5,205
15,162
Waungwana Salaam,

Miezi kadhaa Ney wa Mitego alitoa nyimbo yake iitwayo "SHIKA ADABU YAKO" huku akiwachana baadhi ya Wasanii na watu maarufu humu nchini.

Baadhi ya watu waliochanwa na Ney wa Mitego ni msanii wa Bongo Fleva,Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz. Kwenye wimbo huo wa shika adabu yako Ney anaimba "...... huyu jamaa anajiita Dimpoz,poz kwa poz,wanae wanalalamika hawamjui shemeji, mtaani kuna tetesi mwana hapigi mechi Mara Ooh jogoo hawiki, waonyeshe shemeji......"

Baada ya nyimbo hiyo kutoka Ommy alidai kuwa atamleta Shemeji soon. Sijajua alifikia wapi kwenye hilo.

Hizo taarifa zilianza kupotea mpaka pale jana Lebo ya "Wasafi Classic Baby" maarufu kama WCB Walipachia Ngoma mpya. Ngoma iliyopewa jina la KOKORO ameimba Rich Mavoko akimshirikisha Diamond Platinumz.

Katika utambulisho wa ngoma husika,Diamond Platinumz aliandika Caption iliyozua maneno mengi na hata kudhibitisha kile alichokiimba Ney wa Mitego katika ngoma yake.
Caption yenyewe inasomeka mtoto wa kiume kumchukia Mwanaume mwenzio kisa kakataa kukupumulia nayo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG]

Baada ya hapo povu lilimtoka Ommy Dimpoz na kupost video moja na akiwa na Alikiba na kuandika caption kwamba haikuwa Vita. Alikuwa tu anawatania Timu UjanjaUjanja yaani WCB.

Sasa twende kwenye mada,Je ni kweli uliodhibitika kuwa Dimpoz ni Bwabwa aka Gasho? Yaani anapumuliwa Kisogoni.

Tujiulize tena,Je Diamond alikataa kumpasua Marinda Ommy Dimpoz na kupelekea mfarakano kati yao wawili?kitu kilichomlazimisha Dimpoz kuwa beneti na Wapinzani wa Dangote?
 

Attachments

  • Screenshot_2016-11-23-14-25-06.png
    Screenshot_2016-11-23-14-25-06.png
    111.6 KB · Views: 180
  • Screenshot_2016-11-23-14-23-41.png
    Screenshot_2016-11-23-14-23-41.png
    154.1 KB · Views: 192
Kama ni kutaka uthibitisho inabidi ushahidi uwepo pia mashahidi wa kuthibitisha wawepo. Kama Simba alipitiana mashahidi wapo basi hakuna shaka juu ya madai yao. Vinginevyo kama ushahidi haupo na mashuhuda hawapo, inatia shaka kuthibitisha neno lisemwalo. Vinginevyo tutasema ni urongo.
 
ila domo pia niliskiaga alishapumuliwa na tezi dume ila ni mastori tu ya kuchafuana kama yeye anavyomchafua dimpo!sio mshabiki wa hao wote ila sioni ulazima wa ommy kutuonyesha shemeji sababu halazimishwi na sio lazima!kuhusu upunga nahisi ni ngumu kumjua mtu wa hivyo!wengine wana wake na watoto na michepuko lakini wanaukalia ukuni na kuna wengine mabaunsa kabisa yaani shoga mbabe!!!
 
Oh please let's not have any Sharon-style Temple Mount walkabouts to enrage the religitards and bring on another
intifada
 
Ila diamond ni dhihirisho LA ule usemi wa kuwa. " unaweza kumtoa nyani porini ila huwezi kulitoa pori katika kichwa cha nyani"

Pesa , kazi , mwanamke mtu mzima na kiingereza alichojifunza havijamsaidia zaidi ya kuzidi kuwa limbukeni kana kwamba ametoka mtaani majuzi..

Uyo ommy sio wa kuumizwa kichwa nae

Mimi mwanangu aje kuniambia kuwa hawa ndo marole model wake sijui ntamfanya nini ili aibu kama hii isinifike
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom