Bado kidogo utaanza kuangalia watu wamevaa nguo za ndani za rangi gani. Maana unasahau kuargue kwenye the whole concept ya usalama una argue kwenye miscelleneous. Nadhani ungezungumza hana ile alama ya simama/stop. Otherwise wakati wenzako wanapiga hatua kwenda mbele wewe unarudi nyuma.HAPA ANAVUSHA WATOTO AMA WANAMVUSHA YYE BARABAARAN
![]()