Hapa anaelekea wapi?

Hapa anaelekea wapi?

Top Thinker

Senior Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
183
Reaction score
125
580970_371918619518754_100001018582504_982329_1999103126_n.jpg

HAPA SIJUI ANAWAZA NINI??

GOD BLESS YOU OUR LOVELY PRESIDENT, WENGINE WANAKUPONDA MDOMONI LAKINI UPO MIOYONI MWAO.
 
Kuomba msaada wa neti za mbu kwa bush state!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Hiyo ndio Gulf Stream ya waziri Mramba aliyesema tule majani?
 
580970_371918619518754_100001018582504_982329_1999103126_n.jpg

HAPA SIJUI ANAWAZA NINI??

GOD BLESS YOU OUR LOVELY PRESIDENT, WENGINE WANAKUPONDA MDOMONI LAKINI UPO MIOYONI MWAO.

Nyie leteni mzaha mwenzenu ana mawazo wale waarabu mpk saa hizi hawajampa chake. Au mnafikiri keshalipwa wale TWIGA wake?
 
Lakini kwa hii ndege nampongeza JK. Nchi haina hata ndege moja lkn yeye ana ndege, haya ni mafanikio kwa kweli. Edelea kusafiri mwadhama, Vasco da Gama hakuwezi wala nini, wewe ndio ****** bana
 
msanii kweli huyu jamaa utafikiri anawaza mambo ya nji hii kumbe lol!!!
 
hivi kwanini hizo adha za hali ya hewa huwa haziipati ndege yake? manake naskiaga ndege nyingine tu zinadondoka lakin yakwake ukioanisha na safari zake hapati hizo dhahama. natamani siku upepo wa kisulisuli uipeperrushe ili tufungue ukurasa mwingine wa tanzania.
 
Pale mbele kulia naona kama gazeti la udaku, mkuu ikuze hiyo picha tuthibitishe anayosoma.
 
anawaza where next after Copa Cabana coz mpango wake ni kutembelea place zote zenye vivutio dunian.
 
hivi kwanini hizo adha za hali ya hewa huwa haziipati ndege yake? manake naskiaga ndege nyingine tu zinadondoka lakin yakwake ukioanisha na safari zake hapati hizo dhahama. natamani siku upepo wa kisulisuli uipeperrushe ili tufungue ukurasa mwingine wa tanzania.

duh!!!!
 
hivi kwanini hizo adha za hali ya hewa huwa haziipati ndege yake? manake naskiaga ndege nyingine tu zinadondoka lakin yakwake ukioanisha na safari zake hapati hizo dhahama. natamani siku upepo wa kisulisliu uipeperrushe ili tufungue ukurasa mwingine wa tanzania.

Mkuu mswalie mtume :doh::doh: :target:
 
namuona mwana jf kwa nyuma yupo kwenye jukwaa la siasa, sijuwi atakuwa ni mkuu rejao.
 
Back
Top Bottom