kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
Fid Q na Joh Makini Ni miongoni mwa wasanii bora kupata kutokea bongo kwenye Hip hop, kila mmoja anangoma kali nyingi. Ila binafsi ukiniambia nichague wimbo mmoja tu wa Fid Q ambao niliwahi kuupenda zaidi na haujawahi kunichosha ntakwambia FID Q.COM, na kwa upande wa Joh Makini ni HAO. Nimetoka kuzisikiliza sahivi dah nashindwa kuchagua upi zaidi. Hizi ngoma nazikubali kuanzia beat, lyrics hadi namna walivyochana. Mdundo wa Fid Q.Com uligongwa na Baucha n' HAO uligongwa na Ludigo. .Upi wimbo bora zaidi kwako kwa vigezo vya;
1. Mdundo(beat)
2. Lyrics
3. Flow
???
1. Mdundo(beat)
2. Lyrics
3. Flow
???