Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Ruhazwe JR, ameisoma kimya, kimya! tungojee mlipuko tu! vipi tumbo lakini, wajionaje hali asubuhi ya leo?
dah! Shemeji unaua' kwanza pombe kwangu haram' hata glas moja cmalizi' ulevi wangu ni soda na maji' hata baa ckai labda kama kuna cha kununua.
Hlf mbona mkeo Madame B hujamtaja? Au unataka me ndo niseme? Nitatoa siri
Mimi ni dereva na mara nyingi nakua nampeleka boss maeneo hayo, namie sio cha p kama unavyonionaga na misoda.
Hayo ndo mateso ya madereva, siku nyingine hua tunaekeshwa nje ya guest boss yuko ndani analamba, huku dreva unalambwa mmbu.
hahahahahaha we umeanza kutoa siri zako za ndani.. mi nkizidisha hua nachukua avatar ya CUTE naikodolea mpaka nichoke ata sina makuu.!!! Tena ukilewa na mimi usalama ni % 100 ka vipi muulize chalminglady
nilikua sijui jirani kumbe unaeffct hivyo ukiwa maji.. itabidi nkutafte
Back to topic.. wanaume hambao sio walevi wala wavutaji to some extent wanapenda kweli mambo yetu lakini haiwezi kuzidi mwanaume mnywaji especialy akiwa kaishatupia vitu vyake, kwa ladies ni bora ukatoka na mmeo hata kama we hunywi sababu huko zikimzidi haoni tabu kupiga ata show time..
Well noted, nadhani wote wenye macho yasiyo na matatizo wataisoma vizuri sana hiyo red:washing:πhoto:
@blaine n kurt jamani ni mtazamo wangu tu, wapo mbona wakaka wanaopenda chachandu na wasiotaka hata kuziona, wapo wadada wanaopenda mahogo au vibamia, wapo wanaopenda kelele wapo pia wanaopenda mute! ilimradi tu jamani! kha!watu wanapenda kutafuta mapungufu ya wengine. mara nyingi its one of these kwa wanaume
wasipoona hizi watazusha majungu yasiyo na kichwa au miguu, kama cacico anayedhani mwanaume asiyependa mpira ni wa kumkwepa
- ulevi
- uzinzi
- uvutaji sigara
Well noted, nadhani wote wenye macho yasiyo na matatizo wataisoma vizuri sana hiyo red:washing:πhoto:
Khaaa...! Ntakupa dhawadi wallah:mimba:. Mwambie Mr. wako....:sorry:πeace::closed_2::shock: :spy: (nimekuvulia bikini) Mr usipitie kabisa mitaa hii leo puliiiiz