Napita, niko mitaa ya mbele.
Ngoja nimtoe buku trafic hapa kwanza. Nitarudi
Mentor i believe that 99%, at least awe anakunywa hata wine glass kadhaa, or bia 2, 3. ila yule ambaye hanywi kabisa anarudi ananuka fanta saa 7 usiku, pole kwa wahanga wote! ulevi wao unakuwa chini, yaani nina mifano mingi mno, na vilio vya marafiki zangu kulalamika kuwa wana wish wangepata at least anayeonja!
hii hali madada zetu ndo wanaamin sana eti mtu kama hanywi pombe/mlevi basi ni mzinzi. ndo maana wanapenda kuolewa na mtu asiye tumia kilevi chochote kwa iman ya kwamba atakua na mda mrefu wa kukaa na mpenzi wake wakila malove kila saa. Tofauti na mlevi ambaye yeye pombe anazigeuza ndo mke hata akirudi analala na viatu achilia mbali suruali. kumbuka hawa viumbe wanapenda sana chini ila hawasemi tu. mia
Kunywa bia kwa maendeleo ya Taifa. Afu we Mentor hawa kinamama walivyo wengi tusipojitahidi kuwahudumia unataka watumie magunzi.
Wapiga bia chini tunapapenda lakini wasokunywa wanapapenda zaidi. Jina la ngono liheshimiwe.
heri mm sikusema!...
aauuuuchhh....this hurts.....
Yaani mie nikipata wazo la kwenda bar tu, pichu inadondoka chini, navaa na kimini.
Hii husaidia promotion hasa ukiaa kaunta na kitu cha kuzunguka zunguka, unakuwa unawageuzia walio kwenye vimeza vidogo kwa ajili ya show room lol
Mjini fomu foo ya div foo
bora yako ukilewa unaanza kulia huku unashika chini.ha,ha,ha,...huku unaimba ule wimbo wa "funguo!,funguo! ntaupata wapi!,mlango wangu umejifunga!nataupata wap!"