Wandugu; Palomacute dattyMrs KharusyHoney FaithKing'astiJawilat
Your dilisiesoo choice !!
Hii chakula ya Middle-east twaiita " Mmah~shii " kuna aina mbili ya matayarisho:- 1. kujaza viungio ndani ya biringanyi/pilipili za kirumi() 2. ni ile ya kufunika au kufinyanga na ganda la cabbage.
maandalizi:- nyama ya kusaga (kyma)400grm +Mchele 300grm+nyanya 3pcs+carrot 1pcs + pilipilimanga kdg.+salt +kitungu 1pcs, Baada ya kusafisha na kukatakata unavikusanya vyote pamoja na kufanya madonge madonge size ya ngumi (kiganja).
Mapishi:-
Chemsha maganda ya cabbage hadi yanaiva vizuri bila kuvurugika., toa utandaze, ipoe kdgo, hapo wachukua donge la nyama na mchele uloaanda hapo juu na kuiweka katikati ya ganda la cabbage, halafu funika kama ukunjavo foronya ! Weka ndani ya sufuria panga moja baada ya moja. halafu nyunyuzia urojo wa nyanya au tomato paste iloroana na maji kiasi cha nusu glass, chukua sahani ndogo ukandamizie kwa utaratibu hiyo ili isivurugike. halafu funika sufuria kwa mfuniko wake. weka juu ya moto dakika 20-30. ready to serve.