Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,505
Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV taarifa, lory zake za mafuta zaidi ya kumi zimebanwa na TRA TUNDUMA wakidaiwa arrears of kodi. Cha kushangaza karibu gari zote ni za HANSI POPE. Mimi si ccm hata kidogo. Naichukia ccm na viongozi wake. Ila pamoja na hayo dharau ya HANS POPE ilizidi kipimo. Simba toeni ushauri kwa jamaa yenu.