Hannibal Gaddafi relaxing with wife Aline

hakuna kitu au ndio hao cybersquatters washaingia hadi huku kufanya business
 
Libya hakuna internet hajaona kile kijiti. Mi yule sio baba yangu, but I feel sorry for the guy and his son in the last minutes
 
Kama Muamar Gaddafi na mahela yake chungu nzima aliwezwa kuadabishwa na wananchi wake; Je hawa viongozi wetu wanapata wapi kiburi cha kufikiria kuwa wao hayo yaliyompata mjomba wao hayawezi kuwakuta wao? It is advisable for them to understand what the people wantand respond accordingly, otherwise one day not in the distant future they might find themselves in the sewer!!
 
kuamkia jana bodaboda na abiria wake walikufa pale karakata, licha ya kelele za watu train hiyo! train hiyo¤! hawakusikia wala kuona khaa!
unapo karibia kufa, Unapo karibia kufa MMungu hukuziba macho na masikio hivyo basi, huoni wala husikii! ahahahaa....!
 
Back
Top Bottom