mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 304
Huyo dada ameshajua kwamba anaishi na mgonjwa wa akili ndiyo maana anakwenda na wewe hivyo hivyo ulivyo labda akili zitakurudi mwezi ukiandamaHabarini za jpili wakuu?Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.
Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake.
Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti,cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.
Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.
Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?
Je hachepuki sehemu nyingine?
Je ananipenda sana?
Naombeni ushauri wenu wakuu.
We unaamini jamaa ndiyo anayoyaishi aliyoyaandika hapa? Hizo fantasy kila mwanaume anazitamani.Hapo wote wawili mnatumiana tu kwa mahitaji ya kingono hakuna future hapo
But trust me hayo ndio mahusiano ya kiutu uzima Mahusiano ya namna hiyo Safi sana
Huyo dada ameshajua kwamba anaishi na mgonjwa wa akili ndiyo maana anakwenda na wewe hivyo hivyo ulivyo labda akili zitakurudi mwezi ukiandama
Safi sana..
Huyo dada ana strategy Kama zangu .. usipo nitafuta nami sijishughulishi kukutafuta .. ukinitafuta hata Kama ulikaa mwezi mzima na respond fresh tu Kama hakuna kilichotokea ..then life goes on
Haya ndio mahusiano ambayo naweza ita ya ukweli maana hamna muda wa kusumbuana na drama kabisa. Just being real to each other.Hapo wote wawili mnatumiana tu kwa mahitaji ya kingono hakuna future hapo
But trust me hayo ndio mahusiano ya kiutu uzima Mahusiano ya namna hiyo Safi sana
Anajua mapungufu aliyonayo, so hapo ni win win situation, unahisi kama unamkomoa au hasemi kitu kwako kumbe mwenzio kashajikatia tamaa zamani, kapime HIV kwanza then tuletee mrejesho tukushauri cha kufanyaHabarini za jpili wakuu? bango linajieleza hapo juu.
Nina mchepuko wangu fulani hivi mchanganyiko wa kisukuma na kinyamwezi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake na sitokaa nifanye hivyo kamwe.
Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.
Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.Yaani kwa kifupi mimi ni wale wanaume ambao ni wasumbufu sana kuna muda huwa naamua kumuacha ila nikiamua kumrudia tena huwa hana pingamizi lolote kwangu,au ndio ule usemi kwamba wanawake huwa wanapenda wanaume majeuli.
Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?
Je hachepuki sehemu nyingine?
Je ananipenda sana?
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Hapa ishu kubwa ni kwamba unajishtukia.. Unaona unayafanya yote yanayosababisha wapenzi kuachana, lakini yeye yumo tu, hakuachi wala habishi kitu... HUYO, HACHEPUKI WALA HANA MPANGO WA KANDO, NI KWAMBA AMEAMUA KUKUTESA KISAIKOLOJIA, AMEAMUA KUKUAPA ADHABU YA KISAIKILOJIA, NA AMEFANIKIWA...Habarini za jpili wakuu? bango linajieleza hapo juu.
Nina mchepuko wangu fulani hivi mchanganyiko wa kisukuma na kinyamwezi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake na sitokaa nifanye hivyo kamwe.
Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.
Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.Yaani kwa kifupi mimi ni wale wanaume ambao ni wasumbufu sana kuna muda huwa naamua kumuacha ila nikiamua kumrudia tena huwa hana pingamizi lolote kwangu,au ndio ule usemi kwamba wanawake huwa wanapenda wanaume majeuli.
Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?
Je hachepuki sehemu nyingine?
Je ananipenda sana?
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Halafu wanayakosea pia 😂 wengi mapenz imekuwa kama kazi lazma ku sign-in daily na kulipana posho.Safi sana..
Tatizo wabongo wanaleta mapenzi ya kihindi kwa wabantu
You see !!! Mapenzi ya tamthilia watu wanaleta in real lifeSafi sana..
Tatizo wabongo wanaleta mapenzi ya kihindi kwa wabantu
Yaani me napendaga Sana hii system. Yaani raha Sana no stress Wala Nini 😁Haya ndio mahusiano ambayo naweza ita ya ukweli maana hamna muda wa kusumbuana na drama kabisa. Just being real to each other.
Ukimuhitaji mwenzio unamuita au unamfuata mnachakatana maisha yanaendelea. Infact mnapendana.
Sasa mshkaji eti mchepuko ndio unampa stressYaani me napendaga Sana hii system
.yaani raha Sana no stress Wala Nini