Hanipi hamu ya kimapenzi

Hanipi hamu ya kimapenzi

Hata akiwa na chura mkuu??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umempatia kwenye chura tena. Huyu bwana hachomoki. Wala hatakujibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto mdogo. yeye ana miaka 18 na mimi nampenda but sijawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi .Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana nipenda hadi naona kero mda wote anataka niwe naye

Nipe namba yake nimuelezeee huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom