Ni mweupe?au mwesiNina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto ana miaka 18 na mm nampenda but cjawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi
Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana nipenda hadi naona kero mda wote anatak niwe naye
Mtu ana mtoto wa miaka 18 UNAMUITA DEMU?????Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto ana miaka 18 na mm nampenda but cjawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi
Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana nipenda hadi naona kero mda wote anatak niwe naye
por qué?Tu no estas'bien
Absolutamente,.
Labda kama ni viungo vya pilauHilo hutokea hata mimi kuna wanawake wawili huwa sipati hisia nao hata wanioneshe viungo vyao.
Labda kama ni viungo vya pilau
Maybe in Tanzania only.Mwanamke kumtongoza mwanaume is the greatest mistake ever!
Mmmh sawaHana vigezo vya matamanio yako ndio maana hisia hakuna
Yeye ana miaka 18 sio mtotoYaan mwanae ana miaka 18 !!!!? ..au ngoja nisome tena
Haha mweusiNi mweupe?au mwesi
Kama mweusi kula maana joto kama zimamoto
Sio mtoto yeye ana miaka 18Mtu ana mtoto wa miaka 18 UNAMUITA DEMU?????
Tafadhali shika adabu yako!!!!
Kula Baba Moto hautafutwi kwa vyeusiHaha mweusi
atakua hana mvuto.Sio mtoto yeye ana miaka 18
Kijana anataka mjue kuwa anamtotoMDOGOWANGU:
Hata Askari Monument Ipo Pale Posta, kila mtu anaipenda anaiona anaenda kupiga selfie, lakini hata sikumoja haijawahi kubadilika kuwa Askari Monument!
Jiongeze mdogowangu, tengeneza maisha yako la sivyo utakuwa kama kaka zako wa Bongo Movie... hauendi mbele hurudi nyuma!
inshort yafanye Mapenzi kama Askari Monument