Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Feb 4, 2014 #21 sosoliso said: Ati ulivyosema ni bora usiwe na mchumba kuliko kuwa na handsom lile.. Click to expand... Mhe . sosoliso mi nauliza hivi handsome ni sawa mwanaume mrembo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sosoliso said: Ati ulivyosema ni bora usiwe na mchumba kuliko kuwa na handsom lile.. Click to expand... Mhe . sosoliso mi nauliza hivi handsome ni sawa mwanaume mrembo?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 4, 2014 #22 sosoliso said: Ati ulivyosema ni bora usiwe na mchumba kuliko kuwa na handsom lile.. Click to expand... Ni kweli mie mwenyewe mbaya bado nizame kwa mbaya hicho kizazi changu kitakuaje?
sosoliso said: Ati ulivyosema ni bora usiwe na mchumba kuliko kuwa na handsom lile.. Click to expand... Ni kweli mie mwenyewe mbaya bado nizame kwa mbaya hicho kizazi changu kitakuaje?
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,478 Feb 4, 2014 Thread starter #23 Judgement said: Mhe . sosoliso mi nauliza hivi handsome ni sawa mwanaume mrembo? Click to expand... Yap Mkuu Judgement.. mwanaume mrembo na mlimbwende lol.. Honey Faith said: Ni kweli mie mwenyewe mbaya bado nizame kwa mbaya hicho kizazi changu kitakuaje? Click to expand... Ha ha ha.. watoto watafanana na babu na bibi zao lol.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Judgement said: Mhe . sosoliso mi nauliza hivi handsome ni sawa mwanaume mrembo? Click to expand... Yap Mkuu Judgement.. mwanaume mrembo na mlimbwende lol.. Honey Faith said: Ni kweli mie mwenyewe mbaya bado nizame kwa mbaya hicho kizazi changu kitakuaje? Click to expand... Ha ha ha.. watoto watafanana na babu na bibi zao lol..