Watanzania tulio wengi ni kama Misukule, tunatumikishwa na Mafisadi ila hatuna cha kufanya-eti amani. Acha tutumikiswe mpaka hatua ya mwisho kabisa ndio tutapata akili kwamba tulichukuliwa akili. Hata Somalia ikitulia itatupita kiuchumi. Rwanda ilikua vitani tukaisadia kupata amani leo intushinda ki uchumi. Kweli Watanzania tumewezwa ki-ufaham.