Handsome girls Vs Handsome boys in between money

Everyman with money is handsome

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wewe kama wewe ukigundua kuwa gal wako amekupendea hela utampenda kwa dhati mkuu?,hiyo ndio ilikuwa logic yangu kaka, ule msemo wa 'no money no honey',sio applicable to all situations sasa sisi wabongo hasa mademu ambao sio understanding wanauchukulia ndio sheria,some times it depends bro,you heard??
 
Mulugo kaanza kutuharibia jukwaa letu!

Mshinga TCU wamekukumbuka kw akukupa post?
 
wewe kama wewe ukigundua kuwa gal wako amekupendea hela utampenda kwa dhati mkuu?,hiyo ndio ilikuwa logic yangu kaka, ule msemo wa 'no money no honey',sio applicable to all situations sasa sisi wabongo hasa mademu ambao sio understanding wanauchukulia ndio sheria,some times it depends bro,you heard??
Tunajua wengi mnapenda pesa na ndio mana wenzangu na mimi kumpata mrembo ni utata.
 
pesa ndio jibu la kila swali linalohusiana na wanawake...otherwise usipoteze muda wako bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom