duh e bana ee!hapa ndo nilipokulia mtu mzima,nakumbuka tulikuwa tuna pita hapa kuvuka reli,upande wa pili kuna mzee tulikuwa tunaenda kuiba maembe!hii ni mwanzoni mwa miaka ya 1990
home boi sasa utnataka sisi tukafanye kazi botswana?Tatizo la mainjinia wetu wana waza sana % cha juu kuliko uhalisia wa kazi naona kuna haja nchi iwe ina ajili mainjinia toka nchi nyingine tu.
Tatizo la mainjinia wetu wana waza sana % cha juu kuliko uhalisia wa kazi naona kuna haja nchi iwe ina ajili mainjinia toka nchi nyingine tu.
mzee ulikuwa unaiba maembe kwa bibi lusungu nini? sisi tulikuwa tunaenda kula mapera
Tatizo la mainjinia wetu wana waza sana % cha juu kuliko uhalisia wa kazi naona kuna haja nchi iwe ina ajili mainjinia toka nchi nyingine tu.
hahahha mzee mji mwema umenikumbusha mbali sana, mimi kule nilikaa utotoni nilisoma shule ya uhuru we kama home mjimwema utakuwa ulisoma azimio au makambako
Tatizo la mainjinia wetu wana waza sana % cha juu kuliko uhalisia wa kazi naona kuna haja nchi iwe ina ajili mainjinia toka nchi nyingine tu.
Are you sure with your statement????? Mbona watanzania mnakuwa so negative na kila kitu, kila proffession na ktk kila argument??????? Hivi unawedza tu kuamka asubuhi na kuanza kudesign daraja bila mteja, bila feasibility study, na bila resources?
I am one of those you call mainjinia wetu and I salute my fellow engineers back home (Tz) WITH ALL THAT THEY ARE DOING WITH SUCH LIMITED RESOURCES).
Pls note hao unaodhani ni mainjinia bora toka nchi nyingine ndio hao hao waliotutafuta kutokea hapo Tz na kuja kuteam up nao huku ughaibuni.
...We mndundu hapa watu wanapitaje? wana-craw nini?? kinaonekana kidogo au mijicho yangu yanipoteza!!?Hili ni handaki ambalo juu yake inapita reli ya TAZARA na chini wananchi wapita kwa miguu.
Lipo Makambako Iringa, ikiwa mchina aliweza kutengeneza kitu kama hiki miaka hiyo na hadi leo kipo imara, mainjinia wetu wa barabara kwanini wasitujengee kitu kama hiki kwenye makutano ya barabara mbili kupunguza msongamano wa foleni?
poa,Mi sikumaliza pale ila nilisoma kidogo darasa la nne na la tano mwaka 89 na 90, lakini utotoni kabla ya kudarasa la kwanza nilikaa sana pale
Are you sure with your statement????? Mbona watanzania mnakuwa so negative na kila kitu, kila proffession na ktk kila argument??????? Hivi unawedza tu kuamka asubuhi na kuanza kudesign daraja bila mteja, bila feasibility study, na bila resources?
I am one of those you call mainjinia wetu and I salute my fellow engineers back home (Tz) WITH ALL THAT THEY ARE DOING WITH SUCH LIMITED RESOURCES).
Pls note hao unaodhani ni mainjinia bora toka nchi nyingine ndio hao hao waliotutafuta kutokea hapo Tz na kuja kuteam up nao huku ughaibuni.
...We mndundu hapa watu wanapitaje? wana-craw nini?? kinaonekana kidogo au mijicho yangu yanipoteza!!?