Handaki la Makambako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Handaki la Makambako

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mndundu, Sep 25, 2009.

 1. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hili ni handaki ambalo juu yake inapita reli ya TAZARA na chini wananchi wapita kwa miguu.

  Lipo Makambako Iringa, ikiwa mchina aliweza kutengeneza kitu kama hiki miaka hiyo na hadi leo kipo imara, mainjinia wetu wa barabara kwanini wasitujengee kitu kama hiki kwenye makutano ya barabara mbili kupunguza msongamano wa foleni?

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  duh e bana ee!hapa ndo nilipokulia mtu mzima,nakumbuka tulikuwa tuna pita hapa kuvuka reli,upande wa pili kuna mzee tulikuwa tunaenda kuiba maembe!hii ni mwanzoni mwa miaka ya 1990
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tatizo la mainjinia wetu wana waza sana % cha juu kuliko uhalisia wa kazi naona kuna haja nchi iwe ina ajili mainjinia toka nchi nyingine tu.
   
 4. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mzee ulikuwa unaiba maembe kwa bibi lusungu nini? sisi tulikuwa tunaenda kula mapera
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  home boi sasa utnataka sisi tukafanye kazi botswana?
  au na mii nikabebe boksi na taaluma yangu?
   
 6. F

  FOE Member

  #6
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  To be more specific we better say engineers from China. Hapa ubungo wangekua wameshapitisha barabara juu/chini na madaraja ya kuvuka watu kwa miguu. Jamaa wako fit sana hua tunawaponda for nothing!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  exactly!hivi wewe ni home-boi kumbe?
  mimi wazaz wanaish mjimwema
   
 8. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hahahha mzee mji mwema umenikumbusha mbali sana, mimi kule nilikaa utotoni nilisoma shule ya uhuru we kama home mjimwema utakuwa ulisoma azimio au makambako
   
 9. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kamanda kama ndio hivyo si tutafute watu wengine washughulikie malipo harafu hao mainjinia tuwaachie ujenzi tu {labda useme sasa wataiba vifaa :) }
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mim makambako bwana!umemaliza mwaka gani pale mzee?
   
 11. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Are you sure with your statement????? Mbona watanzania mnakuwa so negative na kila kitu, kila proffession na ktk kila argument??????? Hivi unawedza tu kuamka asubuhi na kuanza kudesign daraja bila mteja, bila feasibility study, na bila resources?

  I am one of those you call mainjinia wetu and I salute my fellow engineers back home (Tz) WITH ALL THAT THEY ARE DOING WITH SUCH LIMITED RESOURCES).

  Pls note hao unaodhani ni mainjinia bora toka nchi nyingine ndio hao hao waliotutafuta kutokea hapo Tz na kuja kuteam up nao huku ughaibuni.
   
 12. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Engineers wetu wengi hawathaminiwi na ni kama unataka mambo yako yawe mazuri basi ujiingize kwenye mtindo wa watawala wa kuwa yes bwana ili uonekane
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hivo hivo professional-mate
   
 14. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mi sikumaliza pale ila nilisoma kidogo darasa la nne na la tano mwaka 89 na 90, lakini utotoni kabla ya kudarasa la kwanza nilikaa sana pale
   
 15. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...We mndundu hapa watu wanapitaje? wana-craw nini?? kinaonekana kidogo au mijicho yangu yanipoteza!!?
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  poa,
  ni pm basi unipe namba yako tuwaachie watu waendelee na mjadala
   
 17. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi swali langu ni hapo kwenye nyekundu tu mzee, unamaana gani kwamba hamna mteja? wateja wapo hao mainjinia ndio wanatakiwa wawaonyeshe wateja altenatives ndio maana naamini (japokuwa sina uhakika) hao wachina ndio walikuja na wazo la hilo handaki na sio wananchi wa makambako wa miaka ya 60.
   
 18. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwana hapo unapinda mgogo hadi unatokeza upande wa pili, tena enzi hizo watu walikuwa wanakatiza hapo na ndoo ya maji au kiloba cha mahindi.
   
 19. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wakati tunakua njia rahisi ya kufika makambako kutoka dar ilikuwa kutumia treni la tazara. Sasa hawa wahandisi wa ujenzi kama video za ulaya ngumu kueleza wangepelekwa kwenye hizi structure za wachina za mwaka 47 ili watutatulie tatizo la msongamano kwenye makutano ya barabara.

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 20. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kanisa la kilutheri la Makambako maarufu kama JOGOO kutokana na sanamu ya jogoo iliyopo juu ya kanisa.....

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

Loading...