hand shake!!!!!!!!!!!!!

Very funny..jf hapana jamani
 
Aisee ni kweli Kabisa Katika Vitu vichafu ni Mikono na pesa ,ambayo mwanadamu huvitumia kila wakati kati maisha yake ..

Yaaani kushake Hand ni uchafu mkubwa , hususani nyakati za Mchana na Jioni .....m2 anakua kashapita kwnye Mihangaiko mingi . .
 
huwa tunahand shake na left hand....?
 
Duh, kweli hatushake na left hand. Hata hivyo huyo dada anasumbuliwa na aina fulani ya minyoo(wataalam wa afya wanajua).
 
huwa tunahand shake na left hand....?


Hapana, ni mikono yote. Ni kule unampa mtu mkono yeye anakushika kwa mikono yote kuashiria amekushiba na anakufurahia. Tizama huyo mama anajipiga vidole mkunduni kwa raha zake mwenyewe, atakuja mtu anayemfahamu na kumshika mikono yote huku wakichati.....Dah kinyaa kweli.
 

Mkuu,
Tafsida kidogo maana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…